Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
IQNA – Rais wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) ametoa rambirambi zake kwa watu wa Algeria na Ummah ya Kiislamu kufuatia kuaga dunia kwa mwanazuoni mkuu wa Qur’ani, Sheikh Mohamed Said Kaabash.
Habari ID: 3482611 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/10